Nadhani SHEHE ungeanza na kujisafisha wewe kwanza. Umekuwa ukitumika sana kisiasa na CCM na sasa BASHITE ! Ni wendawazimu tu watakaodhani viongozi wa DINI hawana haki ya kujadili yanayoendelea kwenye NCHI. Sasa hao kondoo wanaowachunga watawapa mafundisho gani??NENO linaishi. pic.twitter.com/O8VmRqIFVt— Halima James Mdee (@halimamdee) December 29, 2017
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 16, 2026
10 hours ago
