Polepole: Upinzani msiingize maaskofu katika Uhuni wenu

Msiingize Maaskofu katika mambo yenu ya siasa maslahi na uchwara. Mmeshindwa kusimamia hoja za maendeleo sasa mnaingiza Maaskofu katika uhuni wenu. Mshindwe na Mlegee. Nyie si mko vizuri, njooni hapa wenyewe tujenge na kupangua hoja kwa hoja




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo