Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo wa ubunge utakaofanyika Januari 2018.
Akizungumza na waandishi wa habari, kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe amesema haoni maana ya chama hicho kushiriki uchaguzi huo
Wadai hakuna mazingira sawa ya ushindani.
Soma zaidi hapa chini alichokiandika Zitto kabwe kwenye ukurasa wake wa facebook
Soma zaidi hapa chini alichokiandika Zitto kabwe kwenye ukurasa wake wa facebook