Wanachama waliokuwa wa CUF ambao ni tegemezi katika ushindi katika kata ya Chikonji wamehama chama hicho na kuhamia CCM na kumkabidhi kadi Mjumbe wa halamshauri kuu ya CCM Mwigulu Nchemba.
Jumla ya waliohama walikuwa 105 kutoka chama cha CUF.
kata ya chikonji ipo katika uchaguzi mdogo wa udiwani baada ya aliyekuwa diwani kupitia CUF kufariki dunia