Picha kutoka Bungeni Dodoma Hii leo

9694-Mwenyekiti akiingia bungeni
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9696-Wabunge wakati wa dua
Wabunge wakiwa wamesimama wakati wa dua ya kuiombea nchi na bunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9738-Mkuchika
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na Utawala Bora Mhe.Capt(Mst) George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati  wa Mkutano wa Tisa wa kikao cha nne cha Bunge hilo leo Mkoani Dodoma.
9812-Angeline Mabula
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu hoja  mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9863-Mhe.KIgwangala
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja  mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9911-Naibu Waziri Madini
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja  mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9922-Naibu Waziri Nishati
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akitoa maelezo ya maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.
9981-Mhe.Mwanjelwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa akijibu hoja  mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa  kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania leo Mjini  Dodoma.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo