Hii ndio orodha ya mali anazomiliki aliyekuwa mhasibu wa TAKUKURU, Godfrey John Gagu ambaye anatafutwa kwa kumiliki utajiri ambao hauendani na kipato chake
Dau la milioni 10 limetangazwa kwa atakayefanikisha kupatikana kwake