Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amezungumza tena kwa njia ya sauti akiwa Nairobi Nchini Kenya anakopatiwa Matibabu baada ya kupigwa Risasi mwezi September mwaka huu
Miongoni mwa aliyoyazungumzia ni Kumpongeza Lazaro Nyalandu kujiuzulu Ubunge na kuomba kuhamia Chadema akitoka CCM, Uchaguzi mdogo wa madiwani pamoja na kuwataja anaodai ni watesi wake
Sikiliza sauti hii hapa chini kwa kubonyeza Play>>>>>
