Mh. Selemani Jaffo amepandishwa na kuwa Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi awali alikuwa Naibu Waziri wa Tamisemi #MabadilikoBarazaLaMawaziri pic.twitter.com/tkSSxEQLCT— East Africa TV (@eastafricatv) October 7, 2017
Mh. George Mkuchika ameteuliwa kuwa Waziri Ofisi ya Rais Utawala Bora.— ITV (@ITVTANZANIA) October 7, 2017
Wizara ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi pia imegawanywa katika Wizara mbili. Wizara ya Kilimo pekee na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.— ITV (@ITVTANZANIA) October 7, 2017
Rais @MagufuliJP ametangaza kuigawa Wizara ya Nishati na Madini katika wizara mbili. #MabadilikoBarazaLaMawaziri— ITV (@ITVTANZANIA) October 7, 2017
#MabadilikoBarazalaMawaziri Mh. @HKigwangalla ametolewa kutoka kuwa Naibu waziri wa Afya na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii— ITV (@ITVTANZANIA) October 7, 2017
#MabadilikoBarazalaMawaziri "Sasa tutakuwa na Wizara 21 kutoka 19 zilizokuwepo baada ya kuongeza Wizara 2"-Rais @MagufuliJP— ITV (@ITVTANZANIA) October 7, 2017
Rais @MagufuliJP amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.Majina kamili kuwajia punde.— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) October 7, 2017