Mwili wa Mtangazaji wa E-FM waagwa, Vilio Vyatanda

Mtangazaji na mchekeshaji wa kituo cha redio EFM, Dennis David Rupia ‘Chogo’, ameagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Maxmilian Kolbe lililopo Mwenge Jijini Dar es Salaam. 

Mazishi yake yanatarajia kufanyika kesho Ifakara mkoani Morogoro. Marehemu Chogo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Homa ya Ini, na alianza kuugua tangu Juni, ilipofika Septemba 29, 2017 akafariki dunia.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo