Mbunge wa CHADEMA ataka Vyama vingi vifutwe

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia CHADEMA John Heche, ameitaka serikali kufuta mfumo wa vyama vingi na kubakia na chama kimoja, kama wanaona uwepo wa vyama vya upinzani ni uhaini.

Amesema  wamekuwa wakipokea vitisho vikali juu ya kufanya siasa na kukososa utendaji wa serikali, kitu ambacho ni wajibu wao kama vyama vya upinzani bungeni, hivyo kama wanaona wanafanya kosa basi ni heri wafute vyama hivyo.

John Heche ameendelea kusema kwamba kukosoa serikali sio uhaini bali ni kufanya kazi kadri ya sheria za nchi zinavyotaka, lakini kwa hali ya sasa hivi ilivyo imekuwa inaonekana kinyume, na kuhatarisha usalama wao na familia yao.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo