skip to main |
skip to sidebar
Gazeti la Tanzania Daima latupwa jela siku 90
Serikali imelifungia kwa siku 90 kuanzia leo Gazeti la kila siku la Tanzania Daima kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kuandika habari za uongo
Hii hapa ni taarifa iliyotolewa na serikali:-
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi