Akiongea na mwandishi wa kituo cha East Africa Television, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, amesema CHADEMA inamkaribisha mtu yeyote anayetaka kujiunga na chama hicho, kwani chama cha siasa ni watu.
CHADEMA wamjibu Nyalandu
By
Edmo Online
at
Monday, October 30, 2017