Sipendi unafiki! Watu wakubali makosa na waliomtukana Mzee Warioba na kutukebehi watubu tuanze upya. Wasijifanye hawana historia 😒— Maria Sarungi Tsehai (@MariaSTsehai) September 1, 2017
Tusubiri Uchaguzi tuone kitakachotokea, lakini tunaendelea kujifunza sana kutoka kwa majirani zetu!Wako mbali sana.#Uhuru wa MAHAKAMA! https://t.co/vZuPTg45IY— Halima James Mdee (@halimamdee) September 1, 2017
You will be remembered as World Democratic Person of our era. That is the fact and i adore you @swahilitimes @UKenyatta @TheDemocrats pic.twitter.com/F8WrTTrNpB— Kikwete Ridhiwani J. (@ridhiwankikwete) September 1, 2017
Kenya has proven to be a Civilized,democratic,strong and respected Judiciary system,Proper lesson to the rest of the world— Hussein M Bashe (@HusseinBashe) September 1, 2017
KENYA INAISHANGAZA DUNIA!— Julius Mtatiro (@Julius_Mtatiro) September 1, 2017
1. Mahakama ya Juu ya Kenya imeamua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya iliendesha... https://t.co/lDD2CD9irF
Huu ndio ule upuuzi... pic.twitter.com/ffHkVQYEe3— Halima James Mdee (@halimamdee) September 1, 2017
Niliwahi Sema najifunza jambo toka Kenya, Leo inathibitika wakati Mahakama inafungua kurasa Mpya ya Kumbukumbu ya Maamuzi.#KenyaDecides pic.twitter.com/q6PR06QlKF— Kikwete Ridhiwani J. (@ridhiwankikwete) September 1, 2017
Rasimu ya Wananchi (Warioba)ilifuta huu upuuziNa kuipa Mahakama RUNGU !Wanufaika wa huu upuuzi wakaamua kuitelekeza! pic.twitter.com/WRHpVSWBJE— Halima James Mdee (@halimamdee) September 1, 2017
Tanzania Court of law has much to learn from Kenya. #SupremeCourtDecides— Tundu Antiphas Lissu (@TunduLissu) September 1, 2017