Rais wa chama cha wanasheria tanganyika (TLS) Tundu Lissu amesema anashangazwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amealikwa kwenye mkutano mkubwa wa wanasheria nguli duniani unaofanyika nchini Marekani
Lissu amesema mpaka sasa hajapokea mualiko wowote hivyo taarifa hizo ni za uongo zenye lengo la kumpa umaarufu asiostahili
Amesema "Mimi sitaki umaarufu nisiostahili bali nataka umaarufu ninaostahili"
taarifa hizo zilieleza kuwa Lissu atakuwa ni mwanasheria pekee kutoka bara la Afrika