Msanii wa hip hop Bongo, Roma ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zimbabwe’ ambayo imeongozwa na Nicklass, audio amefanya Bin Laden ndani ya studio za Tongwe Records. Tazama kwa kubonyeza Play Hapo chini:-
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube