Askari Polisi mmoja nchini Italia lisikika akiamuru wakimbizi wavunjwe mikono wakati a mbapo askari walikuwa wakijaribu kuwatawanya wakimbizi waliokuwa wakiandamana.
Polisi imefahamisha kuwa umeanzisha uchunguzi baada ya tukio hilo.
Ghasia zilizuka Alhamisi bain aya Polisi na wakimbizi mjini Roma.
Mamlaka iliwataka wakimbizi kuondoka katika eneo ambalo walikuwa wakiishi.
Kauli za askari huyo zilinaswa na waanishi wa habari na kupeperushwa katika mitandaoa ya kijamii.
Mkurugezi wa usalama Italia Franco Gabrielli amesema kuwa kauli hiyo ni kauli hatari.