Taarifa ya CHADEMA imeeleza kuwa, Polisi wanamsaka Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (CHADEMA) kwa madai ya kuchochea ulimaji wa bangi.
Taarifa ya CHADEMA imeeleza kuwa, Polisi wanamsaka Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (CHADEMA) kwa madai ya kuchochea ulimaji wa bangi. pic.twitter.com/YUlJ5Ix0lk— Swahili Times (@swahilitimes) August 4, 2017
