Kutokana na moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza soko la Sido Mbeya Usiku huu, Kituo cha Redio Green Fm kimetoa ripoti zaidi kuhusu moto huo, baada ya kufika eneo la tukio na kuzungumza na watu waliopo eneo la tukio na wakatoa taarifa ya awali
Sikiliza sauti hii hapa chini:-

