Mkuu wa polisi wilaya ya Makete Afande Maganga amezungumzia hatua ambazo
jeshi la polisi limezichukua mpaka sasa kuhusu wanafunzi watano wa shule ya sekondari Kipagalo waliopatiwa
ujauzito
Pia ameelezea ugumu wa kutekeleza agizo la Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Veronica Kessy la kumtaka awakamate wazazi wa wahusika waliowapatia ujauzito wanafunzi hao na wakakimbia
"Mkuu sheria haitaki nimkamate mbadala wa aliyetenda kosa, kwani anaweza kunishitaki mahakamani na ikawa shida kwangu" amesema OCD Maganga
Msikilize hapa chini:-