Akizungumza kuhusiana na matokeo hayo Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema lipo tatizo kubwa katika masuala ya afya ukizingatia kuwa Bajeti ya Serikali katika dawa imengozeka hivyo Wizara ya Afya inawajibika kutolea ufafanuzi jambo hilo na kutafuta njia ambayo itamaliza changamoto hii.
Alichosema Zitto Kabwe kuhusu utafiti wa TWAWEZA leo
By
Edmo Online
at
Wednesday, August 30, 2017