Taarifa za Awali kuhusu Msiba wa Mtangazaji wa EFM Seth Katende ( Bikra Kisukuma) kuwa mwili wa marehemu umepelekwa nyumbani kwa baba yake mzazi, Changanyikeni kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Seth amefariki Dunia leo katika Hospitali Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mchache
Seth alikuwa akifanya kipindi cha ubaoni pamoja na Emmanuel Kapanga, na Mpoki kilichokuwa kikianza saa 10:00 Alaasiri hadi saa 1:00 usiku.
Seth alikuwa akifanya kipindi cha ubaoni pamoja na Emmanuel Kapanga, na Mpoki kilichokuwa kikianza saa 10:00 Alaasiri hadi saa 1:00 usiku.