Picha zote: Jinsi Mke wa Waziri Mwakyembe alivyozikwa Leo Huko Kyela

 Waziri Harrison Mwakyembe akiwa ameambatana na watoto  kutoa salama za mwisho mwili wa Mkewe Linah Mwakyembe kabla ya kuzikwa katika kijiji cha Ikolo Wilaya ya Kyela 

 Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Harison Mwakyembe akiwaeka shada la maua kwenye kaburi la Mkewe Linah Mwakyembe. 
 Mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la jumuhuri ya Muungano Sammweli Sita mama Magreth Sita akisalimia na mtoto mkubwa Dk Harrison Mwakyembe George Mwakyembe wakati wa mazishi mke wa waziri Mwakyembe Linah Mwakyembe kijiji Ikolo Wilayani Kyela
 MAMA SITA. Akiwa amekumbatina na waziri wa habari utamaduni sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe wakati wa mazishi ya Mke wa Mwakyembe Linal Mwakyembe katika kijiji cha Ikolo Kyela kushoto ni Dk Mary Mwanjelwa.
 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akishuhuidia Mkewe mama Mary Majaliwa akisaini kitabu cha maombelezo msiba wa Mke wa waziri wa habari utamaduni sanaa na michizo Dk Harrison Mwakyembe Linah Makyembe kabla ya kuzika kijijini Ikolo Wilayani Kyela
 Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nauye na Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Chadema Joseph Mbilinyi wakifuatilia kwa ukaraibu mahubiri wakati wa msiba wa mke wa waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dk Harisson Mwakyembe.
 Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini joseph Mbilinyi akimpa pole waziri wa habari utamaduni sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na mkewe Linah Mwakyembe.
 Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Chadema Joseph Mbilinyi Sugu akisalimia na Spika wa Bunge la Juamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ngugai kwenye mazishi ya Mke wa waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dk Harrison Mwakyembe  katika kijiji cha Ikolo Kyela kulia ni Naibu Spika Dk Tulia Ackson.

Picha zote na Kenneth Ngelesi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo