Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wajumbe wa baraza la Madiwani la jiji hawapo pichani.aliyekaa kulia ni Mkurugenzi wa jiji Sipora Liana
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wajumbe wa baraza la madiwani leo. Aliyekaa kulia ni Mkurugenzi wa jiji Sipora Liana.
Mwandishi wa habari kutoka Ofisi ya Meya wa Jiji Bi Christina Mwagala baada ya kufuatilia Baraza la Madiwaji jiji la Dar es Salaam
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wajumbe wa baraza la Madiwani la jiji hawapo pichani.aliyekaa kulia ni Mkurugenzi wa jiji Sipora Liana