Mkuu wa wilaya ya Njombe amegoma kushiriki shughuli za uzinduzi wa jezi wa timu Njombe akidai bendera ya timu hiyo inafanana na CHADEMA.
Angalia Tweet hii hapa chini:-
Mkuu wa wilaya ya Njombe amegoma kushiriki shughuli za uzinduzi wa jezi wa timu Njombe akidai bendera ya timu hiyo inafanana na CHADEMA. pic.twitter.com/wODGcBfXMf— CloudsMediaLive (@CloudsMediaLive) July 17, 2017