Shughuli ya kuuaga mwili wa Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo zimefanyika leo June 5, 2017 katika Uwanja wa Majengo Moshi ambapo atazikwa June 6, 2017.
Ili kuhakikisha hupitwi na kila hatua katika mazishi ya mwanasiasa huyo mkongwe Ayo TV na millardayo.com zimeweka kambi Moshi na zimezinasa picha 3 za Kaburi ambalo atazikiwa nyumbani kwake KDC Moshi Kilimanjaro.