skip to main |
skip to sidebar
Rais Magufuli amaliza ziara Yake Mkoani Kilimanjaro, Arejea Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru viongozi mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali waliomsindikiza katika katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake 
ya kikazi ya siku tatu mkoani humo. PICHA NA IKULU.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi