Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amesema amefurahishwa na uamuzi wa Bunge kumsamehe makosa aliyoyafanya
Bulaya ni miongoni mwa wabunge waliopelekwa kwenye kamati ya maadili ya bunge kutokana na makosa aliyoyatenda mwaka jana kufuatia matamshi aliyoyatoa kuhusu wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
Msikilize hapa chini akiongea kwa kina hii leo>>>>>>>