skip to main |
skip to sidebar
Yanga wakimbiana walivyotua uwanja wa ndenge Dar
Hatimaye Yanga wamerejea nchini baada ya kuwa wamechelewa nchini.
Hili ni lile fungu ambalo liliachwa na ndege mjini Algers nchini Algeria.
Wachezaji walipotua, kila mmoja alionekana kwenda mwelekeo wake.
Si kawaida kama ilivyozoeleka hutua na kutoka pamoja. Lakini kila mmoja alielekea upande wake na kuwashangaza waliokuwa uwanjani hapo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi