Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge wa CUF


Mkutano wa  Mbunge wa Jimbo la  Temeke(CUF) Abdallah Mtolea, uliopangwa kufanyika leo umezuiwa na Jeshi la Polisi kutokana na sababu zisizofahamika.

 Mtolea akizungmza na Mwandishi wetu  kwa njia ya ujumbe mfupi na kuthibisha kuwa Mkutano huo  aliolenga kuzungumza na  wananchi wa jimbo lake leo umezuiliwa  leo na kueleza kuwa  kikao hicho kilichopangwa kufanyika leo kimezuiwa.

Mtolea alithibitisha kikao hicho kitafanyika na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, atahudhuria.

hata hivyo jana  mkutano uliondaliwa na Katibu wa CUF wilaya ya Kinondoni, Juma Nkumbi, ulivamiwa na watu wenye silaha waliovalia   maski  na waandishi kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo