Tayari Nay wa Mitego amekamatwa na Polisi Hotelini Moroogoro

Kutoka Morogoro asubuhi hii Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni ametoa wimbo mpya anaodai amezungumza ukweli wa moyo wake kwa kinachoendelea, amethibitisha kukamatwa na Polisi.
Nay ameandika kwenye Instagram yake “Nimekamatwa kweli muda huu nikiwa Hoteli Morogoro baada ya kumaliza kazi yangu iliyonileta, napelekwa Movemero Police, Nawapenda Watanzania wote #truth #Wapo”
 “Ni kweli huyu Bwana anashikiliwa Morogoro na shauri lake sio la Morogoro na shauri lake sio la Morogoro, tulipata tu maelekezo kwamba tumtafute


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo