Rais wa chama cha Tanganyika Law Society Tundu Lissu amesema tayari wamekutana kupanga utaratibu wa kuonana na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli
Akizungumza kupitia kituo cha Redio Times Fm cha jijini Dar es salaam Tundu Lissu amekwepa kutaja mambo mazuri aliyoyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake na kusema kuwa akiyataja hawataitwa Ikulu na Rais
"Nasemaje haiwezekani Rais awe hajafanya mazuri, lakini nitakwenda kumwambia huko huko Ikulu" amesema Tundu Lissu
Unaweza kumsikiliza kwa kirefu kwa kubonyeza play hapo Chini:-