Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa katika kutekeleza wajibu wake kikatiba ni lazima Bunge lijadili na kuazimia kuhusu kilichojiri Clouds Fm hali kadhalika Uhuru wa Vyombo vya Habari, Lakini pia ameeleza kusikitishwa kuona afisa akimtishia silaha waziri mstaafu.