Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kulipa deni wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO kuanzia siku ya kesho. Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi aongea na wanahabari, Atoa Maagizo kuhusu TANESCO
By
Edmo Online
at
Sunday, March 26, 2017