Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikujulikana mara moja mkoani Kilimanjaro amekutwa akimbaka Mbuzi
Tukio hilo la kustaajabisha limetokea mkoani humo ambapo limeacha gumzo kwa watu, huku waandishi wa habari wakifika eneo la tukio kuchukua habari hiyo
Hapa chini kuna sauti ya tukio hilo mwanzo mwisho kama ilivyoripotiwa na kituo cha Redio Clouds Fm, unaweza kusikiliza au kudownload hapo chini:-