Full Video ya Kilichompata Nape Nnauye alipozungumza na waandishi wa Habari

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amepewa Dr. Harrison Mwakyembe, baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na Waandishi wa Habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia Waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo na aliongea na waandishi akiwa juu ya gari. Bonyeza play hapa chini kutazama full video ya alichokiongea.

Chanzo:millardayo.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo