Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache kabla ya taarifa kutoka IKULU kutangaza kwamba nafasi yake ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, hii audio hapa chini ni sehemu tu ya ilivyokua
AUDIO: Sikiliza Nape akifunguka, Aongea na Waandishi wa Habari Juu ya Gari
By
Edmo Online
at
Thursday, March 23, 2017
