Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amelazimika kuifunga shule ya sekondari Imetere wilayani mwake baada ya wanafunzi kupagawa na kuanguka ovyo shuleni hapo
Tukio hilo linahusishwa na imani za Kishirikina
Sikiliza sauti ya tukio hilo hapa chini kama lilivyoripotiwa na kituo cha ITV