Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Iwawa wilayani Makete wakimwimbia Waziri mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipokwenda shuleni hapo kufungua madarasa yao Januari 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete kabla ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Iwawa ya Makete, Novatus Msivala kwenda kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua madarasa ya shule ya Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete Januari 21, 2017.. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka wakiwa wameketi kwenye madawati ya moja kati ya madarasa mawili mapya yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu katika shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Makete Januari 21, 2017. Katikati ni Mbunge wa Makete, Norman Sigala., (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka (kulia kwake ) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Njombe, Deo Sanga kukagua maeneo ya shule ya sekondari ya Iwawa wilayani Makete baada ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Iwawa iliyopo Makete baada ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Njombe wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe katika eneo la Wikichi katika Wilaya ya Njombe Januari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).