Mwanamke mwanamke achapwa viboko Mbele ya Rundo la Wanaume, Angalia Video hii


Sheria ichukue mkondo wake na wahusika wakamatwe mara moja, ni Uonevu na udhalilishaji wa hali ya juu, Ni Mila gani za kuwanyanyasa wanawake kiasi hiki? Hizi mila nyingine hazina faida yeyote bali ni unyanyasaji wa hali ya juu! Nimeumia sana kiukweli!! Kweli Tanzania bado tuna Mila za kishenzi kama hizi?

angalia video hii hapachini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo