Baada ya Yanga Kunyukwa na Simba, Jerry Muro naye Kainyuka na Haya

Aliyekua msemaji wa Yanga ambaye kwa sasa anatumikia adhabu yake aliyopewa na Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) Ndg,Jerry Muro kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika>> ‘Sikilizeni nyinyi…Bora hata Simba mmeshinda, maana mlivyo watata mngeweza hata vunja Muungano’.
screen-shot-2017-01-11-at-10-00-41-am


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo