Serikali wilayani Chunya mkoani Mbeya inamshikilia
mwanaume mmoja aitwaye Maneno Pesambili Kanjanja (59) akituhumiwa kumuingilia
kimwili binti yake wa kumzaa na kumfanya kama mkewe katika kitongoji cha
Mwakambonja kijiji cha Kiwanja Kata ya Mbugani
Tukio hilo la kikatili limetokea Januari 22 mwaka huu
Majira ya saa mbili usiku baada ya binti huyo ambaye ni mlemavu kuokotwa na
wasamaria wema akiwa anakwenda kujihifadhi kwenye jengo la CCM lililopo mita
100 kutoka nyumbani kwao huku akitambaa
Msikilize Mkuu wa wilaya akizungumzia tukio hilo:-
