
Baada ya Rais Magufuli kutoa kauli ya kuwaruhusu wamachinga waliobomolewa vibanda vyao na kufukuzwa jijini Mwanza kurudi katika maeneo hayo na kuendelea na biashara zao kama kawaida hivi ndiovyo wamachinga hao walivyoipokea kauli hiyo ya Rais Magufuli.
ANGALIA VIDEO HII..