Breaking News: Waziri Muhongo Apiga STOP Umeme Kupanda, Atoa Waraka Mzito


Tumepokea taarifa za barua ya leo, 31 Dec 2016 kutoka kwa Prof Muhongo kwenda kwa DG EWURA ikisimamisha utumiaji wa bei mpya zilizotangazwa jana na EWURA.

Prof Muhongo ametumia madaraka aliyopewa na yako ndani ya Electricity Act, 2008.

Serikali haijapokea na kutathmini bei zilizopendekezwa na EWURA.

IMG_2150.JPG 
IMG_2151.JPG 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo