Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwasihi wabunge kuwa na tabia ya kuheshimiana baada ya Mbunge wa Mbozi, Mh Haonga kumwambia yeye amekula maharage gani kiasi kwamba hawaoni kuwapa nafasi ya kuchangia hoja wabunge wanaokaa nyuma.
Spika Job Ndugai Ageuka Mbogo baada ya Kuambiwa Kala Maharage Ya Wapi?
By
Edmo Online
at
Friday, November 11, 2016