Katika picha mbalimbali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mkewe Mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Picha na IKULU