Wasukuma mkokoteni wakiingia barabara kuu ya Mbeya-Kyela bila kuangalia Usalama wao katika eneo la Uyole jijini Mbeya huku wakiwa na shehena ya Karoti ambazo walikuwa wakizipeleka Sokoni baada ya kuziosha mtoni. Picha na Kenneth Ngelesi
Hizi Karoti zilizooshwa Mtoni zinafaa kuliwa kweli?.....
By
Edmo Online
at
Wednesday, November 02, 2016