Majibu ya Mbunge Norman Sigalla Kuhusu Kupokea Mishahara Hewa

Hata hivyo mbunge Mh Prof Norman Sigalla amekanusha taarifa kuwa kuna mshahara wake unaingia kwenye akaunti yake isipokuwa amekuwa akishangaa kuona kitu kinaingizwa kwenye akaunti yake ambacho si mshahara na hajui ni kwa nini au mtu gani alikuwa anaingiza. 

Mbunge huyo ametaka vyombo vya dola kufanya uchunguzi wa kina kuhusu jambo hilo

Soma zaidi habari hii kutoka gazeti la mwananchi la leo baada ya kulipiga picha:-





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo