Imeelezwa kuwa baada ya muda si mrefu huwenda halmashauri
ya wilaya ya Makete mkoani Njombe ikakumbwa na uhaba wa watumishi kutokana na
zoezi la uhakiki wa watumishi linaloendelea kufanywa na serikali
Akitoa taarifa ya awali katika baraza la
madiwani wa halmashauri hiyo kuhusu zoezi la uhakiki wa watumishi pamoja na vyeti Afisa utumishi na Utawala wilaya ya Makete Bw.
Nicodemus Tindwa amesema wapo watumishi 47 ambao mpaka sasa hawajajitokeza na miongoni mwao wapo waliokimbia na hawajulikani walipo
Sikiliza taarifa hii ya sauti hapa chini: