Angalia Picha za ajali ya Basi la Hood iliyotokea Mlima Kitonga Iringa Hii leo

7Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha limepata ajali leo mchana na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.

Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine arobaini na tatu wamejeruhiwa. 

Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.14572891_1006125166164738_2374041657409491487_n 14724481_1006051032838818_603214680447625380_n 14900584_1006125132831408_8129501449386976542_n


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo