Watu wawili wapigwa radi na kufa mkoani Kagera

1Wakati maafa ya tetemeko la ardhi lililoikumba Kanda ya Ziwa hasa Mkoani Kagera likiwa halijasahaulika, imeripotiwa kuwa watu wawili wamefariki dunia Mkoani humo baada ya kupigwa na radi.

Watu hao walipigwa na radi hiyo eneo la Mtukula, mkoani Kagera kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha katika eneo hilo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo